HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 17, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATOA MHADHARA CHUO KIKUU CHA KILIMO SUA MJINI MOROGORO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa Mhadhara wa 13 wa Kumbukumbu ya Hayati Moringe Sokoine, uliofanyika Novemba 16, 2012 kwenye Ukumbi wa 'Nelson Mandera Freedom Square' Kampasi ya Solomon Mahlangu, katika Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA) mjini Morogoro.
Sehemu ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha SUA wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati alipokuwa akitoa mhadhara wa 13 wa kumbukumbu ya Hayati Moringe Sokoine, uliofanyika Novemba 16, 2012 kwenye Ukumbi wa 'Nelson Mandera Freedom Square' Kampasi ya Solomon Mahlangu, katika Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA) mjini Morogoro.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha SUA, Alnoor Kassim, baada ya Makamu kutoa mhadhara wa 13 wa kumbukumbu ya Hayati Moringe Sokoine, uliofanyika leo Novemba 16 kwenye Ukumbi wa 'Nelson Mandera Freedom Square' Kampasi ya Solomon Mahlangu, katika Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA) mjini Morogoro,Novemba 16, 2012. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad