Makamu wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal akihutubia kwenye mkutano wa sita katika maadhimisho ya siku ya mlipa kodi kitaifa yaliyoadhimishwa leo katika ukumbi wa Mlimani City Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal
akimkabidhi zawadi na cheti kwa Ofisa mtendaji mkuu wa NMB bank Mark
Wiessing baada ya Bank hiyo kuwa mchangiaji Bora katika kulipa kodi kwa
mwaka 2012. Hafla hiyo ilifanyika leo katika ukumbi wa mlimani City Dar
es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal,
akizindua Vitabu katika maadhimisho ya siku ya mlipa kodi kitaifa
yaliyofanyika leo katika ukumbi wa mlimani City Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzainia Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa sita wa maadhimisho ya siku ya mlipa kodi kitaifa yaliyoadhimishwa leo katika ukumbi wa mlimani City Dar es salaa.Picha na OMR
No comments:
Post a Comment