Timu ya kandanda ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, ikiwasili Katika Uwanja wa Ndege wa Entebe nchini Uganda tayari kwa mashindano ya CECAFA Senior Challenge yanayotarajiwa kutimua kivumbi kuanzia leo katika uwanja wa Mandela jijini Kampala
Wachezaji wapo fiti
No comments:
Post a Comment