HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 22, 2012

KAMERA YA MTAA KWA MTAA JIJINI MWANZA.

 Basi lililokua likielekea maeneo ya Buhongwa jijini Mwanza likiwa limeshindwa kupanda mlima mdogo wa karibu na eneo la Igoma jijini humo.

 Mabanda ya wafanyabiashara wadogo kandokando ya kituo cha mabasi yaendayo maeneo mbalimbali jijini Mwanza eneo la Nyegezi kando kabisa ya jiji hilo, Eneo hilo linafanyika biashara kutokana na kuwa kituo kikuu cha mabasi mkoani humo.
 Kituo Kikuu cha mabasi cha Nyegezi Mkoani Mwanza ambapo mabasi makubwa ya kuelekea maeneo mbalimbali yanapatikana.

 Hii kweli ni Rock City.
Usafi wa jiji la Mwanza sio katika ya jiji pekee hapo ni kando ya mji kabisa wafanyakazi hawa wakitimiza wajibu wao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad