
Kama umefika jijini Mbeya na hujafika katika kiota hiki cha Hill View Hotel,basi jua kabisa kuwa bado hujalifaidi jiji la Mbeya.Hiki ni kiota cha kipekee kabisa ndani ya jiji hilo na kipo maeneo ya Uzunguni,sehemu iliyotulia na yenye muonekano wa kipekee,ni sehemu ambayo ina hadhi ya kimataifa kuanzia muonekano wake wa nje mpaka ndani ukiingia.huduma zake ni bora na hakuna kwa kulinganisha nako.Kiukweli sifa zote nzuri zinastahiki katika Hoteli hii.Wadau mkifanikiwa kufika Jijini Mbeya,msikose kufika kwenye kiota hiki.
KWA MAWASILIANO YA ZIADA PIGA NAMBA
+255 687 197 232
+255 763 730 500
Muonekano wa nje katika Lango kuu la kuingilia.
Majengo Mazuri ya Hoteli hiyo yakiambatana na sehemu nzuri za maegesho ya Magari.
Sehemu tofauti tofauti za kupumzikia wageni wafikiao katika hoteli hiyo.
Sehmu ya Vyumba vya Kulala.
Mrembo akipata nyuzzz huku akiwa ndani ya Jacuzzi.
No comments:
Post a Comment