Aly Suleiman Kalulu wa Falcon (kushoto) akidhibiti mpira wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar, uwanja wa Amaan jana.Falcon 2 na Zimamoto 2.
Mshambuliaji wa Falcon, Othman halid akichuana na mlinzi wa Zimamoto, Juma Ali,katika mchezo wa ligi kuu ya grand Malt ya Zanzibar jana kwenye uwanja wa Amaan.Falcon 2 na Zimamoto 2.
Wachezaji wa Zimamoto (kushoto) wakililinda lango lao dhidi ya Falcon katika mchezo wa Ligi kuu ya Grand Malt ya zanzibar, uwanja wa Amaan jana.Falcon 2 Zimamoto 2.
No comments:
Post a Comment