Mbunge wa Viti Maalum -CCM,Mh. Catherine Magige akiwa na baadhi ya wadau wakati wakibadilishana mawazo kabla ya kufanyika kwa uzinduzi wa Catherine Foundation kwenye viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mapema leo Asubuhi.Pamoja na Uzinduzi huo wa Catherine Foundation pia iliweza kutoa msaada wa baskeli kwa walemavu wa wilaya ya Arusha.
Meza kuu.
Mbunge wa Viti Maalum,Umoja wa Vijana CCM,Mh. Catherine Maggige akisomama taarifa ya Foundation yake ilivyoanza kazi mbele ya Mgeni Rasmi ambaye alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha,Mh. John Mongela na kuhudhuliwa na Wananchi mbali mbali wa jijini Arusha leo.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha,Mh. John Mongela (kulia) na Mbunge wa Viti Maalum,Umoja wa Vijana CCM,Mh. Catherine Maggige wakisukuma Baiskeli za walemavu wakati wa kukabidhi Baiskeli hizo kwa walemavu watatu kwa niaba ya walemavu 20 waliopewa Msaada huo.
Picha na Ahmed Mahmoud, Arusha
No comments:
Post a Comment