Washiriki wa Shindano la Redd's
Miss Tanzania 2012, hizi karibuni walikamilisha ziara yao ya Kutembelea
Mikoa ya Kanda ya Kaskazini ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga
kujionea vivutio vya utalii katika mikoa hiyo ambapo walimalizia mkoani
Tanga kwa kutmbelea Mapango ya Amboni yaliopo mkoani humo.
Warembo
hao wakiwa katika mapango hayo ya kale waliweza kujionea vivutio
mbalimbali ambavyo ni vya kipekee na vyakuvutia vilivyopo katika mapango
hayo ya asili ya zama za kale.
Miongoni mwa vitu vilivyopo huko kwenye mapango hayo ni mfano wa sanamu
za aina mbalimbali za Bikira Maria, Maandiko ya Quran, Daraja, sanamu za
jinsia ya kike na kiume, chui, na vitu vingine mbalimbali vya kuvutia.
Warwmbo
wa Redd's Miss Tanzania wakioangalia moja ya vivutio vilivyomo ndani ya
Mapango ya Amboni,Jijini Tanga.hapa walikuwa wakionyeshwa mfano wa
sanamu ya Mamba.
Warembo wakiwa Nje ya Mapango ya Amboni.
Wakipita katika moja ya Njia za Mapangoni humo.
Sanamu ya Mfano wa Bikila Maria ndani ya Mapango ya Amboni.
Warembo wakimalizia nge ya Mapango hayo.
Vivutio mbali mbali ndani ya Mapango ya Amboni.










No comments:
Post a Comment