HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 14, 2012

VIJANA WATAKIWA KUMUENZI MWALIMU KWA VITENDO.

 Mwanasheria wakujitegemea Ester Wassira, akiwahutubia vijana kwenye kongamano la kumuenzi Bbaba wa tafa JK Nyerere linaloendelea Chuo Kikuu Dar es Salaam, ambapo mada kuu ni nafasi ya kijana katika kumuenzi mwalimu Nyerere leo ikiwa ni siku kuu ya kumuenzi ikiwa ni zaidi ya miaka 12 tangu afariiki.
 Baadhi ya vijana waliojitokeza kwenye kongamano hilo wakifuatilia kwa makini watoa mada kwenye kungamano hilo.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akiwahutubia vijana waliohudhuria kongamano hilo leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad