HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 6, 2012

usimamaji wa Daladala kwenye vituo

 Ukiangalia picha hii kwa makini (tena hata bila umakini) utaonaona jinsi dereva wa Daladala hili alivyoweza kufuata taratibu ya kuegesha Gari lake kwenye sehemu rasmi iliyotengwa kwa ajili ya usafiri huo ambapo ni rahisi na salama kwa abiria kupanda usafiri huo bila zengwe.
Hapa ni huyu wa upande wa kushoto ndie alieweza kufuata taratibu,laini hawa wengine wamekiuka kwa kuegesha na kupakia abiria sehemu ambayo si salama kwa abiria hao.
Hapa wote wamekiuka utaratibu.kiukweli inatakiwa kufanyika kazi ya ziada ya kuwafanya madereva wa daladala wa namna hii wawe wanapenda kufanya kazi yao kwa kufuata taratibu,kwa maana tukiendelea kulikalia kimya hili litakuja leta madhara makubwa siku na ukaanza mpango wa kuundwa kwa tume.wahusika mliangalie swala hili kwa mapana kidogo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad