Mwenyekiti
wa Tume Ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora Jaji Kiongozi (Mstaafu)
Amiri Ramadhan Manento (katikati) akiongea na waandishi wa habari
hawapo pichani jijini Dar es Salaam Oktoba 10,2012 wakati akitoa
muhtasari wa taarifa ya Uchunguzi wa Tume yake kuhusu tukio
lililopelekea kifo cha Daudi Mwangosi kilichokea Septemba 2, 2012
kijijini Nyololo. Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa.Kushoto ni Makamu
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mahfoudha.A.
Hamid.
Mwenyekiti
wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Jaji Kiongozi
(Mstaafu) Amiri Ramadhan Manento akionyesha taarifa kwa waandishi wa
habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu Muhtasari wa wa
Taarifa ya tume yake ya Uchunguzi wa tukio lililopelekea kifo cha
Mwandishi wa habari wa kituo cha Chanel Ten Daudi Mwangosi kilichotokea
Septemba 2, 2012 kijijini Nyololo, Wilaya ya Mufindi, Mkoani Iringa,.
Makamu
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mahfoudha.A.
Hamid akijibu moja ya Swali kutoka kwa Mwandishi wa Habari (hayupo
pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu Muhtasari wa wa Taarifa ya
tume yake
ya Uchunguzi wa tukio lililopelekea kifo cha Mwandishi wa habari wa
kituo cha Chanel Ten Daudi Mwangosi kilichotokea Septemba 2, 2012
kijijini Nyololo, Wilaya ya Mufindi, Mkoani Iringa.
Waandishi
wa Habari wakiwa kwenye ukumbi wa mkutano wa ofisi ya Tume ya Haki za
Binadamu na Utawala Bora jijini Dar es Salaam wakati wa kutoa Muhtasari wa wa Taarifa ya tume yake
ya Uchunguzi wa tukio lililopelekea kifo cha Mwandishi wa habari wa
kituo cha Chanel Ten Daudi Mwangosi kilichotokea Septemba 2, 2012
kijijini Nyololo, Wilaya ya Mufindi, Mkoani Iringa.Picha na Mwanakombo Jumaa - MAELEZO.



No comments:
Post a Comment