Ndugu Lipina Macdonald Lemunge wa Arusha na
Mkami Nyagwa Malecela wa Dar es salaam, wanasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Lucy Adam Samilla (MAMA LUCY) wa Arusha -pichani-
KilichotokeaTarehe 26/10/2012 huko Arusha.
Mazishi yatafanyika siku ya Jumatano 31/10/2012 katika makaburi ya NJIRO, Arusha.
Msiba uko nyumbani kwa marehemu Haile Selassie Road Arusha.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe - Amina
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na:-
Lipina Lemunge 0767 888 774
Mkami Nyagwa 0713 333 038
No comments:
Post a Comment