Mkurugenzi wa Kampuni ya Unique Entertainment,Methuselah Magese (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza rasmi uzinduzi wa Shindano la kumsaka mwanamitindo mwenye vigezo vya kipekee nchini Tanzania (Unique Model),uliofanyika leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hollyday Inn,jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Fedha wa Kampuni hiyo,Happy Mushi na kulia ni Mkuu wwa Itifaki wa Unique Model,Mariam Khamis.
Timu nzima ya Kampuni ya Unique Entertainment.Kutoka kushoto ni Ofisa Mipango wa Shindano,Hyassintier Julius,Mkuu wa Kitengo cha Fedha wa Kampuni hiyo,Happy Mushi,Mkurugenzi Mkuu,Methuselah Magese,Mkuu wwa Itifaki wa Unique Model,Mariam Khamis na kulia ni Mwalimu wa Dansi wa Shindano hilo,Denis Lucas.
No comments:
Post a Comment