HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 27, 2012

Sherehe ya kuhitimu kidato cha nne mtoto Claudia Mapalala

Claudia Mapalala mwenye Joho akiwa na Wazazi wake kutoka kulia ni Celestine Maufi na Mama Yake Sarah Jemas Maufi wa tatu na Dada Yake Emmy Kimwwaga wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kusherehekea Mahafari ya kumaliza kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya St,.Joseph Millenium ya Boko jijini Dar es Salaam. 03 Keki aliyoandaliwa Claudia M,Maufi wakati wa hafla yake ya kumaliza kidaoto cha Nne.
Baba Mzazi akimlisha mwanae keki wakati wa hafla ya kumaliza kidato cha Nne katika sekondari ya ST.jOSEPH jijini Dar es Salaam.
Mama Mzazi wa Claudia Maufi Sarah Mapalala akimlisha keki mwanae wakati wa hafala ya Kumaliza Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya ST.Joseph jijini Dar es Salaam.
Claudia Maufi akiwa katika picha ya pamoja na wazazi wake Celestine Maufi na mama yake Sarah Mapalala wakati wa hafala ya kumpongeza wakatialipokuhitimu kidato cha Nne katika Sekodari ya St.Joseph iliyopo Boko jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad