Winnifrida Maganga Bi harusi mtarajiwa akiwa na Bwana harusi mtarajiwa,
Deus Kessy aliyekuja Tanzania kwenye Send Off party ya Mkewe mtarajiwa
iliyofanyika Lanham, Maryland Jumamosi Sept 29, 2012. Harusi itafanyikia Arusha
Tanzania
Juu na
chini ni Bi Harusi mtarajiwa na mpambe wake pamoja na ndugu, jamaa na marafiki
walioambatana nae wakiwasili na Limo
Wazazi wa
Bi harusi mtarajiwa Brigedia Jenerali Emmanuel Maganga na Mkewe Love Maganga
Bi harusi
akiletwa ukumbini huku akiwa amefichwa kwa mila za kinyamwezi ni lazima bwn.
harusi mtarajiwa amtambue ama sivyo iabidi apigwe faini.
Bi Harusi
mtarajiwa akiwa amefichwa
Shangazi
wa Bi harusi mtarajiwa Aunty Baby Mgaza akitoa maelezo kwa wakwe kwamba
wakishindwa kumfichua watapigwa faini ya $200
Bwn.
Harusi mtarajiwa afanikiwa kumfichua bila kukosea
Kutoka
kushoto ni Bwn. Shariff Hassan Maajar, mume wa Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar,
Love Maganga na Brigedia Jenerali maganga
Kushoto ni Bwn. na Bibi Missana, Bwn. Shariff Hassan Maajar, Love
Maganga, Brigedia Jenerali Maganga na Aunty Baby Mgaza.
No comments:
Post a Comment