HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 13, 2012

Rais Kikwete aifariji familia ya Marehemu Walid Juma


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji  na kuomba dua pamoja na familia ya  aliyekuwa kamishna wa Ushuru wa Foradha TRA Marehemu Walid Juma nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Walid  amezikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini dare s Salaam.Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad