Mtangazaji
wa Kipindi cha Jahazi ndani ya Radio Clouds FM,Arnold Kayanda akiwa
pamoja na Mai Waifu wake Anitha Kayanda wakati wakiingia kwenye hafla ya Ndoa yao
iliyofanyika usiku wa Kuamkia leo kwenye Viwanja vya Karemjee,jijini
Dar es Salaam.
Bw. Arnold Kayanda na Bi. Anitha Kayanda wakilishana keki.
Wakikabidhi keki kwa Wazazi.
Wapambe wakiwa wamevalia mavazi nadhifu kabisaaa.
wakiingia ukumbini.
Mdau akiwapokea Maharusi kwa Dansi zitoo......
Maharusi wakiingia.
Maharusi na Wapambe waoo..
Kekizzzz.
MC Kibonde akiliongoza Jahazi la sherehe hiyoo.
Maharusi wakikata kekiiKa
Congratulations to the beautfuuuuuuullll couple.
ReplyDeleteCongratulations. Love, Patience and Lots of Prayers.
ReplyDeleteHONGEREN SANA, MUNGU AWAONGOZE
ReplyDeletehao wapambe wakiume mbona wamevaa kama askari maji?
ReplyDeletehongera kayanda...jiko la ukweeeeli. tunaingojea ya mwabulambo wasiwasi...lol
ReplyDeleteiLIKUWA MZINGA WA SHOW HONGERENI
ReplyDeletehongera muwe na baraka tele
ReplyDelete