Tangazo la Ndovu Special Malt la 3D…Ni la kwanza Tanzania.
Kama upo Dar, nunua gazeti la Guardian utakuta miwani ya 3D itakayokuwezesha kuliona tangazo hili kwa 3D na kama upo Mikoa mingine, nunue gazeti la Nipashe na utakuta miwani ya 3D ya Ndovu Special Malt,ambapo utaweza kuona tangazo hili kwa uhalisia wake.
Wednesday, October 24, 2012

Home
Unlabelled
Ndovu Special Malt na muonekano wa tangazo la 3D
Ndovu Special Malt na muonekano wa tangazo la 3D
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment