Mwenyekiti
wa Bodi ya
Wadhamini wa PPF,Dk. Adolf Mkenda akitoa muongozo wa kikao mapema leo
asubuhi ikiwa ni siku ya pili ya Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na
Wadau PPF
unaofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini
Arusha.

Mkurugenzi Mkuu wa PPF,William Erio akitoa taarifa wakati wa Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau unaofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha leo.
Mwenyekiti
wa Kikao cha kwanza cha Mkutano wa Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana
na Wadau PPF,kilichokuwa kikihusu maswala ya Tehama katika sekta ya
Hifadhi za Jamii,Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili,Dk.
Marina Njelekea akitoa muongozo kwa Wadau wa PPF waliopo kwenye mkutano
huo.
Mtoa
Mada iliyokuwa ikihusu maswala ya Tehama katika sekta ya Hifadhi za
Jamii,Dk. Chaula Job Asheri akiwasilisha mada yake hiyo kwa Wanachana na
Wadau PPF waliopo kwenye Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau
PPF,unaendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa
AICC,jijini Arusha leo.
Mchangia
Mada iliyokuwa ikihusu maswala ya Tehama katika sekta ya Hifadhi za
Jamii,Dk. Ernest Kitindi akifafanua maswala mbali mbali yahusuyo mada
hilo iliyowasilishwa na Dk. Chaula Job Asheri katika Mkutano wa Mkutano
wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau PPF,unaendelea kufanyika kwenye
ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha leo.
Meneja Muendeshaji wa Hoteli ya Gold Crest ya jijini Mwanza,Deepak Rawat akizungumzia hoteli hiyo iliyojengwa na PPF.
Rachel
Mwinchumu na Mwanae Ernest Mwinchumu wakitoa ushuhuda wao mbele ya
Wanachana na Wadau wa PPF waliohudhuria kwenye Mkutano wa 22 wa
Mwaka,juu ya PPF walivyoweza kumsaidia yeye na Mwanae anaesomeshwa na
PPF katika Shule ya msingi ya St. Joseph Millenium (darasa la sita).PPF
ambayo ni Mfuko pekee unaotoa fao la Elimu nchini endapo Mwanachama
anapokuwa amefariki akiwa kwenye ajira.PPF imeweza kumsaidia Mama huyo
pamoja na Mwanae baada Mumewe Kufariki Ghafla.
Mtoto Ernest Mwinchumu akitoa shukrani kwa PPF kwa kuweza kumsomesha yeye na kumsaidia mama yake.
Mtoa
Mada ya pili katika Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wadau na Wanachama wa
PPF,iliyokuwa ikihusu Mambo Muhimu yanayopaswa kufuatwa na wanachama wa
PPF,Nicander Kileo akiwasilisha mada yake hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa PPF,David Mataka akichangia Mada katika Mkutano huo.
Wadau wa Mkutano huo wakiuliza Maswali.
Katibu
Mkuu wa Jukwaa la Wahariri,Neville Meena akiuliza swali lililokuwa
likihoji juu ya huduma za kifedha zinazoendeshwa na Makampuni ya simu za
mikononi.
Dk. Chaula Job Asheri akiwasilisha mada ihusuyo maswala ya Tehama katika sekta ya hifadhi za jamii.
Mwenyekiti
wa Bodi ya
Wadhamini wa PPF,Dk. Adolf Mkenda (kushoto),Mkurugenzi Mkuu wa
PPF,William Erio na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
(CAG),Ludovick Utouh (kulia) wakiwa katika picha ya Pamoja na Rachel
Mwinchumu na Mwanae Ernest Mwinchumu ambaye anasomeshwa na PPF kupitia
Fao la Elimu.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba,Nehemiah Mchechu (katikati) nae ni mmoja wa Wadau wa PPF wanaohudhulia Mkutano huo.
Wadau
na Wanachama mbali mbali wa PPF wakifuatilia kwa makini Mada mbali
mbali zitolewazo kwenye Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau
PPF,unaendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa
AICC,jijini Arusha leo.
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa PPF wakipitia taarifa kwenye kompyuta.
Wahariri:
Kulia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa Gazeti
la Tanzania Daima,Absalom Kibanda na Mhariri wa Gazeti la Uhuru,Jane
Mihanji.
Mdhibiti
na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),Ludovick Utouh (kushoto) na
Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa PPF,David Mataka wakiwa katika picha
ya pamoja na Meneja Uhusiano wa PPF,Lulu Mengele.
Warembo wa PPF wakiwa kwenye Mkutano huo.




























No comments:
Post a Comment