Washindi wa shindano la Ulimbwende(Miss na Mr DSJ) wa Chuo Cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) waliokaa kushoto ni Hassan Omary na kulia ni Diana Nyakisinda wakiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wenzao mara baada ya kukabidhiwa zawadi kwenye sherehe ya kukaribisha wanafunzi wenzao inayoendelea kwenye viwanja vya Kijiji Beach Kigamboni.
Washiriki wa Shindano hilo wakisubiri kutangazwa kwa mshindi.

No comments:
Post a Comment