HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 9, 2012

MDAU AJA NA LIBENEKE JIPYA LA MABADILIKO YA TABIANCHI NA MAMBO YA UTALII


Habari

Naamini katika ushirikiano na ndio maana nimechukua fursa hii kukuomba msaada wako kutangaza blog yangu yawww.tabianchi.blogspot.com ambayo inalenga kutoa habari za mazingira, maliasili na utalii, lengo kubwa ni kutoa elimu ya namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ambayo yanaathari kubwa kwa maisha ya binadamu na viumbe hai, lakini pia kutangaza utalii wa ndani, na utalii wa taifa letu nje na mipaka ya taifa letu. 

blog hii pia ni fursa nzuri kwa wanavyuo, wanafunzi kujifunza kwa maana hutoa habari za sayansi ya mazingira pia.

Natanguliza shukrani zangu za dhati

Karibu sana!
 
Dotto Kahindi (Mandolin)
Skype: mandolinkahindi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad