Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, wakati alipofika
nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16,
kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati
wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi karibuni
jijini Mwanza.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimfariji mke wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus
Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es
Salaam, leo Oktoba 16, kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa
heshima za mwisho wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu huyo
aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal,
akitoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi
Mkoa wa Mwanza, marehemu, Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani
kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, kushiriki
katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli
ya kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza.
Picha na OMR




No comments:
Post a Comment