HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 22, 2012

KONGAMANO LA HAKI ZA WANAWAKE NA KATIBA LAFANYIKA LEO JIJINI DAR

 MAGDALENA RWEBANGIRA KUTOKA (TAWLA) AKICHANGIA MADA YA PILI AMBAYO NI UMUHIMU WA KATIBA KATIKA MAENDELEO YA MWANAMKE WAKATI WA KONGAMANO  LA HAKI ZA WANAWAKE NA KATIBA LILILOFANYIKA  NDANI YA UKUMBI WA BLUE PEARL,UBUNGO PLAZA JIJINI DAR ES SALAAM.KONGAMANO HILI LA SIKU TATU LINAHUSISHA WANAWAKE TOKA SEHEMU TOFAUTI NCHINI WENYE KAZI NA NYADHIFA TOFAUTI KUANZIA WAJASIRIAMALI, WAFANYAKAZI, WANAHARAKATI  NK
 MAMA GETRUDE MONGELA (KUSHOTO) AKIWA KATIKA MAZUNGUMZO NA WAKILI MAGDALENA RWEBANGIRA (KATIKATI) NA MSHIRIKI MWINGINE WA KONGAMANO HILI.
 HAYA NI MALENGO YA KONGAMANO HILI YAKINAKILIWA
 KILA ALIYEHUDHURIA KATIKA KONGAMANO HILI ANAWEZA FUATILIA VYEMA KONGAMANO HILI, WENYE ULEMAVU WA UZIWI NAO WANAELEKEZWA NA KUFUATILIA
ANNA HENGA KUTOKA LHRC ALICHANGIA MADA YA PILI
JANE MAGIGITA NAE ALIPATA FURSA YAKUCHANGIA MADA YA PILI
FESTA ANDREW TOKA TGNP AKICHANGIA MADA YA PILI
BI CLOTILDA KOKUPIMA akichangia mada kwenye kongamano akitaka katika katiba iangalie mauaji ya wazee
MWANABLOGU SHAMIM MWASHA AKITETA JAMBO NA MARIA SARUNGI WAKATI AKIPATIWA UJUZI JUU YA KATIBA NAMENGINEYO YAHUSUYO KONGAMANO HILI LA HAKI ZA WANAWAKE NA KATIBA TANZANIA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad