Mama
wa Mitindo nchini Tanzania Bi. Asia Khamsin na mai hazbendi wake Kaka
Fifte wapo tayari kwa Fashion Show hapa Dallas, TX Usiku wa leo katika
East Africa Chamber of Commerce.
Asia Khamis akipata ukodak na Dr. Mary Nagu, Dr. Mary Nagu nae kaja kuhuzuria East Africa Chamber of Commerce
Dr.
Mary Nagu akitabasamu baada ya kupenda kazi ya Asia, Dr. Alinunua Dress
hii yenye rangi ya Chama inaweza kumfaa pale atakapo kuwa anawatembelea
wapiga kula wake kule Anang'i,
Hapa Asia akipa picha na mama Kasora katikati
Watu wakiangalia kazi ya Asia usiku huu atafanya Fashion Show kuonesha kazi yake kwa wana East Africa.Picha na DJ Luke wa Vijimambo Blog

No comments:
Post a Comment