Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiwa pamoja na Viongozi na
Wananchi mbalimbali katika Swala ya Iddi El Hajji ilioswaliwa katika
Msikiti wa Mwembe Shauri Masjid Mushawwar Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Viwanja vya Salama Bwawani kuhutubia Baraza la EID El Hajj,lililofanyika leo .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea salamu ya heshma ya kikosi cha polisi FFU,alipowasili katika viwanja vya Salama Bwawani Hotel,akiwa mgeni rasmi katika Baraza la EID EL HAJJ Leo.
Askari wa Kikosi cha Polisi cha FFU wakitoa salamu ya heshma ya Gwaride kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,alipowasili katika viwanja vya Salama Bwawani Hotel,akiwa mgeni rasmi kulihutubia Baraza la EID EL HAJJ Leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Kamishna wa Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa,baada ya kupokea salamu ya Hesha ya gwaride la Kikosi cha Polisi FFU,leo alipowasili katika viwanja vya Salama Bwawani Hotel,akiwa mgeni rasmi kulihutubia Baraza la EID EL HAJJ Leo.
Mawaziri Wanawake wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye mfumo wa Umoja wa Kitaifa,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu katika baraza la Eid El Hajj,huko Ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar leo.
Baadhi ya Maw\aziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,yenye mfumo wa Umoja wa Kitaifa,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu katika baraza la Eid El Hajj,huko Ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar leo.
Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu katika baraza la Eid El Hajj,huko
Ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akiwahutubia wananchi na waislamu wa Zanzibar katika baraza la EID El Hajj,lililofanyika katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar Leo.
Baadhi ya Wananchi na Waislamu wakijipatia vitafunio baada ya kumalizika Baraza la Eid El Hajj, lililohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar Leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha,Uchumi na Mipango ya Maendeleo,Omar Yussuf Mzee,(kushoto) na Waziri wa Miundimbinu na Mawasiliano Rashid Suleiman,baada ya kulihutubia Taifa katika Baraza la Eid El Hajj Leo katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi na Kinamama baada ya kuwahutubia wananchi katika Baraza la Eid El Hajj Leo katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar.Picha zote na Ramadhan Othman - Ikulu Zanzibar
No comments:
Post a Comment