Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA)
Lutengano Mwakahesya (PhD) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es
Salaam leo kuhusu kuanza kwa shindano la usambazaji wa umeme vijijini, ambapo
taasisi mbalimbali za vijijini ziliwasilisha maombi yao, ambapo mchujo wa
shindano hilo unatarajiwa kufanyika Mkoani Arusha Oktoba 1 na 2. Mradi huo ni
wa ushirikiano kati ya Serikali na Benki ya Dunia (WB), kulia ni Mkurugenzi wa
fedha wa REA George Nchwali.
Baadhi ya wafanyakazi wa REA
wakifuatilia mkutano huo kati ya waandishi wa habari na Mkurugenzi wa wakala
huyo.

No comments:
Post a Comment