Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Leonard Thadeo akizungumza machache
katika ufunguzi wa maonyesho ya Tigo Mama AfriKa sarakasi yanayoendelea
katika ukumbi wa ukumbi wa Mancom ndani ya Centre New World Cinema
Mwenge. Maonyesho hayo yanaendelea mpaka ifikapo Oktoba 4, 2012.
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Tigo Tanzania Diego Gutierrez akieleza machache kwa
wageni waliokuwa wamefika katika maonyesho hayo.
Mkurugenzi
wa Mancom Centre, Constantine Magavilla akiwakaribisha na kuwashukuru
wageni waliokuwa wamefika katika uzinduzi wa Tigo Mama Afrika Sarakari.
Moja
ya michezo iliyovutia katika Tigo Mama Africa Circus inayoendelea
katika ukumbi wa Mancom ndani ya Centre New World Cinema Mwenge.
Huyu kijana anauwezo wa kuendesha baiskeli ya tairi moja.
... ilikuwa ni maajabu na kweli.
Kijana mwingine alionyesha umahili wake.
Michezo ya kamba nayo ilikuwa ya kuvutia.
Mchezo mwingine ulikuwa niwa kurushiana vikapu ya kutimia miguu.
Vijana wakionyesha uhodari wao wa kupaa juu.
Vijana wakiaga mara baada ya onyesho kumalizika.
Wanamuziki wa Bendi ya Inafrika nao wakiaga, kazi yao kubwa ilikuwa ni kusherehesha wakati vijana wakiendelea na onyesho.
Umati mkubwa wa watu uliojitokeza katika maonyesho hayo.
...watu walipata fulsa ya kubadilisha mawili matatu.

No comments:
Post a Comment