Mshindi
wa mpambano wa ma-DJ wa ST8MUZIK Freestyle 2012 mkoani mwanza DJ Juma
Ramadhani(Kati) akifanya vitu vyake mara baada ya kukabidhiwa chombo cha kupigishia
muziki chenye thmani ya Sh mil 7 na Meneja wa TCC Mkoa wa Mwanza Deogratius
Kamugisha(Kulia), huku mshindi wa upande wa ma-MC mkoani humo Joash Magadula
akishuhudia na zawadi yake mkononi.

Mmoja wa wanakundi cha waburudishaji cha BFB cha mkoani Mwanza akifanya vitu vyake katika mpambano wa kusaka ma-MCs na DJs wa STR8MUZIK Freestyle 2012 mkoani mwanza uliofanyika katika ukumbi wa Stone mjini humo jana usiku.
Meneja wa TCC Mkoani Mwanza Deogratius
Kamugisha akimkabishi tuzo MC bora wa ST8MUZIK Freestyle 2012 mkoani Mwanza Joash
Magadula katika mpambano uliofanyika katika ukumbi wa Stone mjini humo
jana.

Mashabiki wa ST8MUZIK Freestyle 2012 mkoani Mwanza wakiwa wamembeba juu MC bora wa mwaka mkoani humo Joash Magadula katika mpambano uliofanyika jana usiku katika ukumbi wa Stone mjini humo.
Meneja wa TCC tawi la Mwanza, Bw Deogratius Kamugisha (Katikati) akipozi
na washindi wa mpambano wa ma MCs na DJs STR8MUZIK Freetyle 2012 mkoani mwanza.
Kutoka kushoto ni Mshindi wa pili wa DJs Ruyobya Johannes a.k.a DJ Yt,Mshindi
wa kwanza kwa DJs Juma Ramadhani,Msindi wa Pili katika kategori ya ma-MCs
Nchana Antony na Mshindi wa MCs Joash Magadula a.k.a MC Magadash.


No comments:
Post a Comment