HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 27, 2012

Rais Kikwete afungua mkutano wa kimataifa wa African Green Revolution mjini Arusha


  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa wa”African Green Revoultion mjni Arusha leo.
  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa Alliance for a Green Revolution in Africa Dkt.Kofi Annan(kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Bill and Melinda Gates, Bibi Melinda Gates wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa” Africa  Green Revolution Forum 2012,” uliofanyika katika ukumbi wa Ngurdoto mountain Lodge mjini Arusha leo.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati alipokuwa katika mazungumzo na  Mkurugenzi wa  Bill and Melinda Gates Foundation Bibi Melinda  Gates wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa “African Green Revolution Forum 2012,” uliofanyika mjini Arusha leo.
Baadhi ya  wajumbe na wageni wallikwa waliohudhuria ufunguzi wa Mkutano wa “African Green Revolution Forum 2012,” uliofanyika katika ukumbi wa mikutano katika hoteli ya Ngurdoto Mountain lodge mjini Arusha leo.picha na Freddy Maro.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad