Wanafunzi wote wa zamani wa St. Mary's High School ya Mbezi Beach, Mnakaribishwa kwenye Re-Union party, itakayofanyika jumamosi hii ya terehe 29 pale Escape iliyopo eneo ya Mbezi beach mjini Dar-es-Salaam, mita chache tu mbele ya Giraffe Hotel kuanzia saa sita mchana mpaka late. Ticket zipotayari na kila ticket ni Tsh. 25,000 tu, ambayo itajumuisha kiingilio, kinywaji kimoja, chakula(buffet)na mengineyo.
Ticket zinatakiwa kununuliwa kabla ya ijumaa na zinapatikana kupitia waandalizi ambao majina yao na namba za simu zao zipo kwenye tangazo. karibuni Sana tujikumbushie yaliyotusibu kipindi tukiwa pamoja shule.


No comments:
Post a Comment