HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 4, 2012

REDD'S MISS KINONDONI 2012 KUPATIKANA SEPTEMBA 14

Washiriki wa Redd's Miss Kinondoni 2012 wakijinoa kwa kasi ili kuweza kupatikana Mrembo atakayeiwakilisha Mkoa wa Kinondoni katika Mashindano hayo kitaifa.Mashindano ya Redd's Miss Kinondoni 2012 yanatarajiwa kufanyika Ijumaa Sept 14, 2012 katika Ukumbi wa Cassa Complex Mikocheni.
Washiriki wa Redd's Miss Kinondoni 2012 wakiwa katika pozi.
Jumla ya warembo 12 wanataraji kupanda jukwaani kuwania taji la Redd’s
Miss Kinondoni 2012, shindano litakalofanyika Ijumaa Sept 14, 2012.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad