Monday, September 10, 2012

Rais Kikwete katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu, Kampala, Uganda

 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete azungumzia juhudi za kupatikana kwa amani ya kudumu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) baada ya mkutano wa viongozi wa nchi za maziwa makuu kilichofanyika Kampala, Uganda, Septemba 8, 2012.
Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi makubaliano yaliyofikiwa na Wakuu wenzake wa Nchi na Serikali za Ukanda wa Maziwa Makuu baada ya mkutano wao uliofanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya Speke Resort Munyonyo mjini Kampala, Uganda.
Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia waraka wenye makubaliano kabla ya yeye na Wakuu wenzake wa Nchi na Serikali za Ukanda wa Maziwa Makuu kuuweka sahihi baada ya mkutano wao uliofanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya Speke Resort Munyonyo mjini Kampala, Uganda. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment