Monday, September 10, 2012

Chem Chem ya nguvu Mitaa ya Real Estate Mikocheni

 Kutokana na presha ya maji yatokayo kwenye chem chem (Chemba ya maji machafu) wahusika wameamua kuzungushia udongo ili maji hayo yasipotee bure,bali yaingie mtaroni na kuelekea baharini.Tangu kuanza kwa chem chem hii kwenye eneo hili,hali ya hewa ya hapa imebadirika na imekuwa ni ile yenye mvuto wa kipekee.

No comments:

Post a Comment