Mkurugenzi
Mkuu wa mfuko wa Pensheni (PPF), William Erio, akitoa hotuba wakati wa
chakula cha jioni kilichoandaliwa na mfuko huo kanda ya Temeke kwen ye
kituo cha Quality barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam Septemba 20,
2012. Kulia ni Meneja wa kanda ya Temeke wa mfuko wa PPF, Erica
Sendegeya.
Mkuu
wa wilaya ya Temeka jijini Dar es Salaam, Sophia Mjema (Kushoto),
akitoa hotuba yake kwenye chakula cha jioni kilichoandaliwa na mfuko wa
pensheni wa PPF, kwa wateja wa kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam
Septemba 20, 2012. Kulia, ni meneja wa kan da hiyo wa PPF, Erica
Sendegeya.
Mkurugenzi
Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio(Kushoto), akiwa na
mkurugenzi mkuu wa shirika la nyumba la taifa (NHC), Nehemia Mchechu
wakati wa hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na mfuko huo kanda
ya Temeke kwa ajili yab wateja wa kanda hiyo jijini Dar es Salaam
Septemba 20, 2012 .
Mkuu
wa wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, Sophia Mjema (Kushoto),
akizungumza na mkurugenzi mkuu wa mfuko wa pensheni wa PPF, William Erio
(Katikati) na mkurugenzi mkuu wa shirika la nyumba la taifa (NHCo),
Nehemiah Mchechu, wakati wa chakula cha jioni kilkichoandaliwa na mfuko
huo kanda ya Temeka na kufanyika kwenye kituo cha Quality jijini Dar es
Salaam Septemba 20, 2012.
Mkuu wa wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, Sophia Mjema (Watatu
kulia), akiongozana na mkurugenzi mkuu wa VETA, Zebadia Moshi (Kulia) na
mkurugenzi mkuu wa NHC, Nehemiah Mchechu, kuchukua chakula wakati wa
hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa kwa ajili ya wanachama wa
mfuko huo kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam Septemba 20, 2012.
No comments:
Post a Comment