Meneja wa Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa
(katikati) akizungumza katika hafla ya kukabidhi zawadi za washindi wa
Bibi Bomba. Kulia ni Meneja wa vipindi
wa Clouds Tv, Wasiwasi
Mwabulambo.
Washindi wa Bibi Bomba, Kutoka kushoto ni Mshindi wa kwanza,
Veronica Mpandala Matia kutoka Mikocheni jijini Dar es Salaam, Anna
Said mkazi wa Mikocheni na Nasra Mohamed Abdullah mkazi wa mjini
Zanzibar
Meneja wa Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa
(kulia) akibidhi mfano wa hundi yenye
thamani ya sh milioni moja mshindi wa tatu wa
shindao la Bibi Bomba, Nasra Mohamed
Abdullah kutoka Zanzibar katika hafla iliyofanyika
jijini Dar es Salaam jana. Katikati
anayeshuhudia ni Meneja wa vipindi wa Clouds Tv, Wasiwasi Mwabulambo.
Meneja
wa Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa (kulia) akimbidhi
mfano wa hundi yenye thamani ya sh
milioni tatu mshindi wa pili wa shindano la Bibi Bomba, Anna Said mkazi wa Mikocheni A katika hafla
iliyofanyika jijini
Dar es Salaam leo. Katikati
anayeshuhudia ni Meneja wa vipindi wa Clouds Tv, Wasiwasi Mwabulambo.
Meneja wa Mawasiliano wa NMB,
Josephine Kulwa (kulia) akimbidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh milioni tano
mshindi wa kwanza wa shindano la Bibi Bomba, Veronica Mpandala Matia mkazi wa Mikocheni A
katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Katikati anayeshuhudia ni
Meneja wa vipindi wa Clouds Tv, Wasiwasi Mwabulambo.
Washindi wa Bibi Bomba wakiwa kwenye picha ya pamoja na maofisa NMB na
Clouds tv baada ya makabidhiano hayo yaliyofanyika kwenye ofisi za
Clouds Media.

No comments:
Post a Comment