Mie nikiwa nimekula Konozz na Warembo wa Miss Tanzania 2011 leo wakati wa tafrija fupi ya kutangaza kambi rasmi ya Redd's Miss Tanzania 2012.Kulia ni Mrembo anaeshikiria taji hilo hivi sasa,Salha Israel na kushoto ni Mshindi wa Nne wa Taji la Miss Tanzania 2011,Jennifer Kakolaki.
Mrembo Jennifer Kakolaki akinukuu kitu kwenye karatasi huku,mie na Miss Tanzania 2011,Salha Israel tukila chabo.



No comments:
Post a Comment