Meneja Masoko wa kampuni ya Konyagi, Joseph Chibehe akizungumza wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa chupa ya kimataifa wa kinywaji cha Valeur Brandy, jijini Dar es salaam kwenye hotel ya Serena.
Meneja wa kinywaji cha Valeur Brandy, Martha Bangu (kushoto) akigonganisha chupa ya kinywaji cha Valeur Brandy na Meneja Masoko wa kampuni ya Konyagi, Joseph Chibehe wakati wa uzinduzi wa kinywaji hicho katika muonekano wa chupa ya kimataifa,jijini Dar es salaam kwenye hotel ya Serena



Chezea brandy
ReplyDelete