Basi kama hujui naomba kukujuza.haya ni mafuta aina ya petroli ambayo wahusika hapa wanaenda kwenye kituo cha mafuna na kununua kwa wingi na kuiweka kwenye vikopo hivi ambavyo vina ujazo wa lita moja kwa kila kimona ili kuweza kuwauzia watu wa boda boda.hali hii imefikiwa na wahusika hao ili wasipate tabu ya kwenda umbali mrefu kwa ajili ya kununua mafuta.
Friday, August 10, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment