HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 10, 2012

Shirika la Ndege la Emirates lafutarisha wadau wake jijini Dar

 Baadhi ya Mabalozi wa nchi mbali mbali ambao ni sehemu ya wateja wakubwa Shirika la Ndege la Emirates hapa nchini,wakipakua ftar wakati wa hafla ya kuftarisha iliyoandaliwa na Shirika hilo kwa ajili ya wadau wao,katika hoteli ya Serena,Jijini Dar.
 Baadhi ya Wateja wakubwa wa Shirika la Ndege la Emirates wakijisevia Ftar katika hafla hiyo fupi iliyofanyika katika hoteli ya Serena,jijini Dar es Salaam.
 
 Baadhi ya wadau kutoka makampuni ya uwakala wa tiketi za Ndege nchini wakiwa ni sehemu ya waliohudhulia hafla hiyo ya Ftar,iliyoandaliwa na Shirika la Ndege la Emirates kwa wadau wake,iliyofanyika katika hoteli ya Serena,jijini Dar es Salaam.
 Masheikh waliohudhuria hafla hiyo.
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Ndege la Emirates hapa nchini wakiwa kwenye hafla hiyo.
 Wadau wa Emirates wakipata ftar.

5 comments:

  1. kuuliza si ujinga. Hivi kufutarisha kwa dini ya kiislam ina maana wanaoitwa katika hafla za kufuturu ni watu wa dini gani? Maana naona washiriki wengi ni waislam tu. Naomba mnifafanulie.

    ReplyDelete
  2. Kwa hiyo wewe ulitaka kufuturu kama hujaalikwa au?na ulitaka kufutarishwa wakati hujafunga?

    ReplyDelete
  3. Watu waliofunga tu!. Na waarikwa wote uwa ni waislam isipokuwa sikukuu ya idd marafiki wa dini zote rukhsa.

    ReplyDelete
  4. wanaotakiwa kula futari ni wale walofunga

    ReplyDelete
  5. Ndugu yangu hapo Juu Kufuturisha wanakwenda wote haijalishi ur Muslim or Not hii niki2 kizuri sana unatakiwa kuwapa Yatima,Wazee,ndugu,jamaa na marafiki bila kujali dini wala kabila i think u get me a little bt??

    ReplyDelete

Post Bottom Ad