Baadhi ya watu wakiangalia ajali ya daladala lenye namba za usajili T 871 BGY linalofanya safari zake kati ya Mwenge na Temeke lililogonga pikipiki (BodaBoda) na kupelekea kupoteza maisha papo hapo kwa muendeshaji wa pikipiki hiyo.ajali hii imetokea katika makutano ya barabara ya Chang’ombe na Nyerere jijini Dar es Salaam mchana wa leo.
Askari Polisi wa kikosi maalum cha Usalama Barabarani akimtaka dereva wa gari hilo kuteremka ili aende nae kituo cha Polisi Chang'ombe kwa maelezo.Picha na Habari Mseto Blog.

No comments:
Post a Comment