Beki mpya wa klabu ya Yanga, Mbuyu Twite (mwenye fulana ya njano) akiongozana na baadhi ya viongozi wa timu hiyo waliofika kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kumpokea wakati alipowasili nchini tayari kwa kujiunga na timu hiyo akitokea nchini Rwanda.
Beki mpya wa Timu ya Yanga,Mbuyu Twite akiwa amevaa jezi namba 4 iliyoandikwa jina la Rage ikiwa ni ishara ya utani kwa Mwenyekiti wa Simba, Aden Rage ambaye awali alidai kumsajili mchezaji huyo.
mashabiki wa timu ya Yanga wakiwa ni wenye furaha baada ya kumpokea benki wao mpya,Mbuyu Twite kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Picha na Francis Dande.
No comments:
Post a Comment