Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mku wa Itifaki wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran Abad Mobin, wakati Makamu wa Rais alipohudhuria mkutano mkuu wa 16 wa kimataifa wa wakuu wa nchi na serikali usiofungamana na upande wowote Duniani. mkutano huo umefunguliwa leo mjini Teheran Iran.
Thursday, August 30, 2012

Home
Unlabelled
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal aongoza ujumbe wa tanzania katika mkutano mkuu wa 16 wa kimataifa Iran
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal aongoza ujumbe wa tanzania katika mkutano mkuu wa 16 wa kimataifa Iran
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment