HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 31, 2012

Makamu wa Rais Dkt Bilala ahutubia Mkutano mkuu wa 16 wa wakuu wa nchi na serikali zisizofungamana na upande wowote nchini Iran

Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilali akihutubia Mkutano wa Kumi na Sita wa Wakuu wa Nchi za Siasa ya Kutofungamana na Siasa ya Upande wowote unaomalizika leo mjini Teheran, Iran. Katika hotuba yake, pamoja na mambo mengine alisisitiza msimamo wa Tanzania kuendelea kupigania haki, kutetea wanyonge, kupinga ubeberu na ukandamizaji kote duniani, pia aliiasa Jumuiya ya Kimataifa kutatua migogoro yote kwa njia ya amani.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Baadhi ya Watanzania walioongozana na Makamu Rais katika Mkutano huo wakiwa kwenye picha ya Pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad