HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 23, 2012

KINONDONI MUSLIM FORMER STUDENTS NETWORK


Je, wewe ni mwanafunzi wa zamani wa shule ya sekondari ya Kinondoni Muslim?

Karibu sana katika mkutano wa wanafunzi wa zamani wa Kinondoni Muslim;

Mkutano huo utafanyika shuleni Kinondoni Muslim

Siku;Jumamosi

Tarehe; 01.09.2012

muda; Kuzia saa 8 mchana

FIKA;

1. Upate fursa ya kuonana na kuwasalimia wanafunzi wenzako wa zamani.

2. Upate maelezo juu uanzishwaji wa Mtandao wa wanafunzi wa zamani wa Kinondoni Muslim pamoja na faida zake.

3. Ufaidike kibishara na kijamii kwa kushirikiana na mtandao wa wanafunzi wenzako wa zamani.

Kwa mawasiliano zaidi tafadhali wasiliana na:

Bi. Mambo Tambaza (0713 236110)

AU

Barua pepe: kinondonireunion@gmail.com

Face Book: Kinondoni Reunion

USIKOSE NAFASI HII YA PEKEE YA KUKUMBUKANA NA KUFAHAMIANA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad