Mafundi wanaofanya service katika kituo cha Mafuta cha Victoria jijini Dar,wakihangaika kuiweka sawa gari ya mteja mmoja aliefika kituoni hapo kwa lengo la kufanya Service gari yake hiyo.Mteja huyo alitaka kuipandisha mwenyewe gari hiyo katika sehemu maalum ya kufanyia service na kujikuta akiipandisha ndivyo sivyo hadi kufikia hali hii iliyompelekea mdau Msuya kupata taswira hii.
No comments:
Post a Comment