HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 9, 2012

kampuni ya MSAMA PROMOTIONs yakamata mitambo na kazi feki za wasanii mjini dodoma

Mkurungezi wa kampuni ya MSAMA PROMOTION ,Bwa.Alex Msama pichani akifafanua jambo kwa Wanahabari (hawapo pichani),kuhusiana na tukio zima la kama kamata ya wezi wa kazi za wasanii iliofanyika mjini Dodoma.
Mkurungezi wa kampuni ya MSAMA PROMOTIONS ,Bwa.Alex Msama pichani mwenye fulana ya mistari akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) Cd za video na Audio Cd za Muziki wa aina mbalimbali pamoja na Kompyuta za kudurufu kazi za wasanii kwa njia ya wizi kwenye  kituo kikuu cha Polisi mkoani Dodoma,mara baada ya kukamilisha zoezi la kusaka na kuwakamata wezi  wa kazi za wasanii,ambapo jumla ya Cd na Computer zenye thamani ya shilingi milioni Sitini na saba zilikamatwa kwa msaada wa Jeshi la Polisi mkoani humo.

1 comment:

  1. Huyu baba, msama whatsoever...Mungu atamfanya mfano kwa wauaji, matapeli, wezi na wadhulumu wanaotumia mgongo wa kazi ya Mungu inshallah.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad