Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,Lady Jay Dee (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Warembo watakaowania taji la Redd's Miss Ilala 2012 katika kambi yao iliyopo kwenye kiota cha maraha cha Nyumbani Lounge,jijini Dar.Lady Jay Dee ndio mwanamuziki wa kwanza alietangazwa kufanya shoo katika sindano hilo.


No comments:
Post a Comment