HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 24, 2012

Jay Dee kunogesha Shindano la Redd's Miss Ilala 2012

 Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,Lady Jay Dee (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Warembo watakaowania taji la Redd's Miss Ilala 2012 katika kambi yao iliyopo kwenye kiota cha maraha cha Nyumbani Lounge,jijini Dar.Lady Jay Dee ndio mwanamuziki wa kwanza alietangazwa kufanya shoo katika sindano hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad