HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 13, 2012

Bondia wa kike,Lulu Kayege ajifua kwa ajili ya kuwakabiri wapinzani wake



Kocha wa Mchezo wa ngumi Kambi ya Ilala Habibu Kinyogoli (kushoto) akimfundisha
 bondia chipukizi wa kike,Lulu Kayege ikiwa ni maandalizi ya mipambano yoyote itakayoshirikisha wanamasumbwi wa kike.

 Kocha wa Mchezo wa ngumi Kambi ya Ilala Kondo Nassoro akiendelea kumfua bondia chipkizi wa kike,Lulu Kayege.picha na www,superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad