wanaofanya biashara ya viazi katika soko kuu la Arusha wakiwa wamenga biashara zao nje ya soko hilo ambalo eneo la ndani linaonekana limejaa.Viazi vya aina hii vimekuwa vikinunulia sana kipindi hiki,kutokana na kwamba hiki ni kipindi cha Mfungo wa Mwezi wa Ramadhani,hivyo wengi hutumia viazi hivi kama ftar.
asante kaka kwakutuletea habari za arusha mimi niko nje ya nchi kidogo lakini nanimetokea Arusha lakini siona sana habari za Arusha kwenye blog nyingi huwa ni habari za jiji la dar tu na mikoa mingine ibarikiwe sana uzidi kutuwekea picha za Arusha na habari za arusha zaidi
ReplyDelete